Saturday, July 11, 2015

ZITTO KABWE, KIONGOZI WA ACT- ASEMA YA MOYONI KUHUSU LOWASA- KUKATWA


ZITTO KABWE, KIONGOZI WA ACT- ASEMA YA MOYONI KUHUSU LOWASA- KUKATWA


Baada ya chama cha Mapinduzi kupitisha majina matano kwenye tano bora ya Wagombea CCM nafasi ya Urais 2015 kupitia chama hicho.
Sasa kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Mh Zitto Kabwe leo amefunguka kuhusu chama chake kumteua mgombea au kuunga mkono mgombea cha chama kingine.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewahabarisha wananchi kwa kusema…’Chama chetu kitateua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine kwa maamuzi ya VIKAO vya chama. Kama Kiongozi wa chama sina mamlaka yeyote yale kutangaza mtu kuwa mgombea wetu’ – @zittokabw

No comments:

Post a Comment