Saturday, July 11, 2015

Huyu ni mtoto wangu anaye ishi marekani - Lonnett -Msichana mrembo- TUSIWE KAMA LOWASA

Huyu ni mtoto wangu anaye ishi marekani - Lonnett -Msichana mrembo- TUSIWE KAMA LOWASA
Huyu ni mtoto wangu anaye ishi marekani - Lonnett -Msichana mrembo- ana mtoto mmoja, mjukuu wangu, Mungu ibariki Famili yetu. na utulinde kwa neema zako, ili tutakapo nyanyuka na wengine wanyanyuke nasi, tutakapo dondoka, tusikate tamaa, - Mungu mkuuu. TUSIWE MAFISADI KAMA AKINA LOWASA, AND NDUGU ZAKE,

No comments: