Sunday, July 12, 2015

Wazee watano wa CCM walio mkata LOwasa


Wazee watano wa CCM walio mkata LOwasa

Ametumia shilingi bilioni Nne na milioni Mia Moja, kuwanunua watu na kuwasomba kwenye Mkutano wake wa Kampeni Kwenye Viwanja wa Sheikh Amri Karume Mkoani Arusha tarehe 30 Mei, 2015, akajinasibu yeye ni mzee wa Mafuriko na Mtu wa Maamuzi Magumu!..

Haikutosha, akatumia Shilingi Bilioni Nane, kuzunguka Mikoani kufanya Kampeni, Badala ya kutafuta Wadhamini, kinyume na Katiba ya Nchi na Katiba ya CCM ya Mwaka 1977, toleo la 2012, na Kinyume na Kanuni za Uteuzi wa Wagombea wa CCM Katika Vyombo vya dola, Toleo la 2010, huku akiwahadaa Watanzania kwa sababu ya njaa za Watanzania,akiwahonga Vijana Vijisenti Vyake ili aonekane kwamba anakubalika na Watu!

Haikutosha, akatumia degree yake ya Sanaa aliyoipata Chuo Kikuu Dar Es Salaam kwa kutuhadaa kwamba ANAKUBALIKA NA WATANZANIA!
Sasa, Kuna Mpango Kabambe, Ameuandaa na Vibaraka Wake wa Kufanya UASI, UFEDHULI na UHAYAWANI Ndani ya CCM, Kwa Kuwa Kalamu ya Shilingi 200, Imetenda MAAMUZI MAKINI,MAGUMU NA YENYE HAKI NA KULETA UADILIFU WA KUONDOA BATILI KWENYE HAKI!

Tuna IMANI na KAMATI KUU CCM, Chini ya Mwenyekiti Taifa wa CCM, Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete. Tuna Mshukuru Mwenyezi MUNGU Kwa Kutenganisha Magugu na Ngano!

Chama Cha Mapinduzi, Kipo Imara, na Wala Hakitikisiki Kamwe!


http://www.zipakue.com/audios/12/f2dic--hachuji--bongo-flava.html
 

No comments:

Post a Comment