Baada ya chama cha Mapinduzi kupitisha majina matano kwenye tano bora ya Wagombea CCM nafasi ya Urais 2015 kupitia chama hicho.
Sasa
kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Mh Zitto Kabwe leo amefunguka
kuhusu chama chake kumteua mgombea au kuunga mkono mgombea cha chama
kingine.
Kupitia kwenye ukurasa wake wa twitter amewahabarisha wananchi kwa kusema…’Chama
chetu kitateua mgombea au kuunga mkono mgombea wa chama kingine kwa
maamuzi ya VIKAO vya chama. Kama Kiongozi wa chama sina mamlaka yeyote
yale kutangaza mtu kuwa mgombea wetu’ – @zittokabw
No comments:
Post a Comment